-
2 Samweli 11:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Mjumbe huyo akamwambia Daudi: “Wanaume wao walituzidi nguvu, nao walitoka ili kutushambulia uwanjani; lakini tuliwarudisha nyuma mpaka kwenye lango la jiji.
-