-
2 Samweli 12:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 lakini yule mwanamume maskini hakuwa na chochote isipokuwa mwanakondoo mmoja jike mdogo aliyekuwa amemnunua.+ Alimtunza mwanakondoo huyo, naye akakua nyumbani mwake pamoja na wanawe. Mwanakondoo huyo alikuwa akila chakula kidogo alichokuwa nacho mtu huyo na kunywea kikombe chake, naye alikuwa akilala mikononi mwake. Mwanakondoo huyo akawa kama binti kwake.
-