4 Baadaye mgeni alimtembelea yule mwanamume tajiri, lakini mwanamume huyo hakutaka kuchukua mmoja wa kondoo wake mwenyewe au ng’ombe wake ili amchinjie msafiri aliyemtembelea. Badala yake alimchukua mwanakondoo wa yule mwanamume maskini na kumchinjia mgeni aliyemtembelea.”+