-
2 Samweli 13:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Lakini mfalme akamwambia Absalomu: “La, mwanangu. Tukienda sisi sote, tutakuwa mzigo kwako.” Ingawa aliendelea kumsihi, mfalme hakukubali kwenda, lakini alimbariki.
-