-
2 Samweli 13:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Kisha Absalomu akawaagiza hivi watumishi wake: “Mwangalieni Amnoni, moyo wake utakapokuwa umechangamka kwa sababu ya divai, nitawaambia, ‘Muueni Amnoni!’ Ndipo mtakapomuua. Msiogope. Je, si mimi ndiye huwaamuru? Iweni imara na jasiri.”
-