-
2 Samweli 14:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Mwanamke huyo Mtekoa akamwambia mfalme: “Ee bwana wangu mfalme, hatia na iwe juu yangu na juu ya nyumba ya baba yangu, lakini wewe mfalme na kiti chako cha ufalme hakina hatia.”
-