-
2 Samweli 14:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Nimekuja kukwambia jambo hili bwana wangu mfalme kwa sababu watu walinitia woga. Basi mimi mtumishi wako nikasema, ‘Tafadhali, niruhusu nizungumze na mfalme. Huenda mfalme atatimiza ombi langu, mimi mtumwa wake.
-