-
2 Samweli 14:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Kisha mimi mtumishi wako nikasema, ‘Acha neno la bwana wangu mfalme linitulize,’ kwa maana bwana wangu mfalme ni kama malaika wa Mungu wa kweli katika kutofautisha jambo lililo jema na lililo baya. Yehova Mungu wako awe pamoja nawe.”
-