-
2 Samweli 14:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Basi mfalme akamwambia mwanamke huyo: “Tafadhali, usinifiche jambo lolote nitakalokuuliza.” Mwanamke huyo akamwambia: “Tafadhali, sema bwana wangu mfalme.”
-