-
2 Samweli 14:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Ndipo Yoabu akaanguka chini kifudifudi, akainama na kumsifu mfalme. Yoabu akasema: “Leo mimi mtumishi wako ninajua kwamba nimepata kibali machoni pako, Ee bwana wangu mfalme, kwa maana wewe mfalme umetimiza ombi langu, mimi mtumishi wako.”
-