-
2 Samweli 14:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Hata hivyo, mfalme akasema: “Acha arudi nyumbani kwake, lakini hatauona uso wangu.” Basi Absalomu akarudi nyumbani kwake, naye hakuuona uso wa mfalme.
-