-
2 Samweli 14:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Mwishowe akawaambia watumishi wake: “Shamba la Yoabu liko kando ya shamba langu, nalo lina shayiri. Nendeni mkalichome moto.” Basi watumishi wa Absalomu wakalichoma moto shamba hilo.
-