2 Samweli 15:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Ndipo mfalme akamwambia Itai+ Mgathi: “Kwa nini wewe pia uende pamoja nasi? Rudi ukaishi na mfalme mpya, kwa sababu wewe ni mgeni, na pia ulifukuzwa kutoka katika nchi yako. 2 Samweli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 15:19 w09 5/15 27 2 Samweli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 15:19 Mnara wa Mlinzi,5/15/2009, uku. 27
19 Ndipo mfalme akamwambia Itai+ Mgathi: “Kwa nini wewe pia uende pamoja nasi? Rudi ukaishi na mfalme mpya, kwa sababu wewe ni mgeni, na pia ulifukuzwa kutoka katika nchi yako.