-
2 Samweli 16:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Alikuwa akimtupia Daudi mawe, na watumishi wote wa Mfalme Daudi, pamoja na watu wote na wanaume mashujaa waliokuwa upande wake wa kulia na wa kushoto.
-