2 Samweli 16:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Kwa hiyo Daudi na wanaume wake wakaendelea kuteremka barabarani huku Shimei akitembea kando ya mlima sambamba na Daudi, naye alikuwa akimtukana kwa sauti,+ akitupa mawe na kurusha mavumbi mengi.
13 Kwa hiyo Daudi na wanaume wake wakaendelea kuteremka barabarani huku Shimei akitembea kando ya mlima sambamba na Daudi, naye alikuwa akimtukana kwa sauti,+ akitupa mawe na kurusha mavumbi mengi.