2 Samweli 16:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Hatimaye mfalme na watu wote waliokuwa pamoja naye wakafika wakiwa wamechoka mahali walikokuwa wakienda, nao wakapumzika.*
14 Hatimaye mfalme na watu wote waliokuwa pamoja naye wakafika wakiwa wamechoka mahali walikokuwa wakienda, nao wakapumzika.*