-
2 Samweli 16:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Ndipo Absalomu akamuuliza Hushai: “Je, huu ndio upendo mshikamanifu unaomtendea rafiki yako? Kwa nini hukwenda na rafiki yako?”
-