-
2 Samweli 17:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Basi Hushai akaja kwa Absalomu. Kisha Absalomu akamwambia: “Huu ndio ushauri uliotolewa na Ahithofeli. Je, tufuate ushauri wake? Kama sivyo, tuambie jambo la kufanya.”
-