-
2 Samweli 17:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Mara moja Daudi na watu wote waliokuwa pamoja naye wakaondoka na kuvuka Yordani. Wakati wa mapambazuko, hapakuwa na mtu hata mmoja ambaye hakuwa amevuka Yordani.
-