-
2 Samweli 18:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Mfalme akawaambia: “Nitafanya jambo lolote mnaloona ni jema zaidi.” Kwa hiyo mfalme akasimama karibu na lango la jiji na wanaume wote wakatoka wakiwa katika makundi ya mamia na maelfu.
-