-
2 Samweli 18:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Mwishowe Absalomu akakutana kwa ghafla na watumishi wa Daudi. Absalomu alikuwa amepanda juu ya nyumbu, na nyumbu huyo akaingia chini ya matawi yaliyosongamana ya mti mkubwa, na kichwa chake kikakwama kwenye mti huo hivi kwamba akabaki amening’inia hewani huku nyumbu wake akiendelea kukimbia.
-