-
2 Samweli 18:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Yoabu akamwambia hivi mtu huyo: “Ikiwa ulimwona, kwa nini hukumuua papo hapo na kumwangusha chini? Ikiwa ungefanya hivyo, ningefurahia kukupa vipande kumi vya fedha na mshipi.”
-