12 Lakini mtu huyo akamwambia Yoabu: “Hata kama ningepewa vipande 1,000 vya fedha, nisingeunyoosha mkono wangu dhidi ya mwana wa mfalme, kwa maana tulimsikia mfalme akikupa agizo hili, wewe na Abishai na Itai: ‘Haidhuru wewe ni nani, mlindeni kijana Absalomu.’+