-
2 Samweli 18:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 mlinzi akamwona mtu mwingine akikimbia. Kwa hiyo mlinzi huyo akamwambia mlinda lango: “Tazama! Mtu mwingine anakimbia peke yake!” Mfalme akasema: “Huyo pia analeta habari.”
-