2 Samweli 19:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Kwa hiyo aliiteka* mioyo ya watu wote wa Yuda wakawa kama mtu mmoja, wakamtumia mfalme ujumbe huu: “Rudi, wewe na watumishi wako wote.”
14 Kwa hiyo aliiteka* mioyo ya watu wote wa Yuda wakawa kama mtu mmoja, wakamtumia mfalme ujumbe huu: “Rudi, wewe na watumishi wako wote.”