2 Samweli 19:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Naye akavuka* kivuko ili kuivusha nyumba ya mfalme na kufanya lolote alilotaka. Lakini Shimei mwana wa Gera akaanguka mbele ya mfalme kifudifudi mfalme alipokuwa karibu kuvuka Mto Yordani.
18 Naye akavuka* kivuko ili kuivusha nyumba ya mfalme na kufanya lolote alilotaka. Lakini Shimei mwana wa Gera akaanguka mbele ya mfalme kifudifudi mfalme alipokuwa karibu kuvuka Mto Yordani.