- 
	                        
            
            2 Samweli 19:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        20 kwa sababu mimi mtumishi wako najua vizuri kwamba nimetenda dhambi; kwa hiyo leo mimi ndiye wa kwanza kutoka katika nyumba yote ya Yosefu kushuka hapa kuja kukupokea bwana wangu mfalme.” 
 
-