2 Samweli 19:28 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 28 Kwa maana wewe bwana wangu mfalme ungeiangamiza nyumba yote ya baba yangu, lakini uliniruhusu mimi mtumishi wako niwe miongoni mwa wale wanaokula mezani pako.+ Basi nina haki gani ya kuendelea kumlilia mfalme?”
28 Kwa maana wewe bwana wangu mfalme ungeiangamiza nyumba yote ya baba yangu, lakini uliniruhusu mimi mtumishi wako niwe miongoni mwa wale wanaokula mezani pako.+ Basi nina haki gani ya kuendelea kumlilia mfalme?”