-
2 Samweli 19:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Hata hivyo, wanaume wa Israeli wakawajibu hivi wanaume wa Yuda: “Tuna makabila kumi na kwa hiyo tuna haki zaidi kumhusu Mfalme Daudi kuliko ninyi. Kwa nini, basi, mmetutendea kwa dharau? Je, hatukupaswa kuwa wa kwanza kumrudisha mfalme wetu?” Lakini maneno ya wanaume wa Yuda yalikuwa makali zaidi kuliko maneno ya wanaume wa Israeli.
-