Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 20:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Mfalme Daudi alipofika nyumbani kwake* huko Yerusalemu,+ aliwachukua wale masuria kumi aliokuwa amewaacha waitunze nyumba yake,+ akawaweka ndani ya nyumba chini ya ulinzi. Aliwapa chakula, lakini hakulala nao.+ Walibaki kifungoni mpaka siku walipokufa, nao waliishi kama wajane, ingawa mume wao alikuwa hai.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki