2 Samweli 22:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Moshi ulipanda kutoka katika mianzi ya pua yake,Na moto unaoteketeza kabisa ukatoka kinywani mwake;+Makaa ya mawe yanayowaka moto mkali yakatoka kwake.
9 Moshi ulipanda kutoka katika mianzi ya pua yake,Na moto unaoteketeza kabisa ukatoka kinywani mwake;+Makaa ya mawe yanayowaka moto mkali yakatoka kwake.