-
2 Samweli 23:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Ingawa alikuwa mashuhuri zaidi kuliko wale wengine watatu na alikuwa kiongozi wao, hakuwa shujaa kama wale watatu wa kwanza.
-