-
2 Samweli 24:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Lakini Yoabu akamwambia mfalme: “Yehova Mungu wako na azidishe idadi ya watu mara 100, na macho yako bwana wangu mfalme na yaone jambo hilo, lakini kwa nini bwana wangu mfalme unataka kufanya jambo la namna hii?”
-