2 Samweli 24:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Lakini neno la mfalme likawa na nguvu kuliko neno la Yoabu na wakuu wa jeshi. Basi Yoabu na wakuu wa jeshi wakaondoka mbele ya mfalme na kwenda kuwaandikisha watu wa Israeli.+
4 Lakini neno la mfalme likawa na nguvu kuliko neno la Yoabu na wakuu wa jeshi. Basi Yoabu na wakuu wa jeshi wakaondoka mbele ya mfalme na kwenda kuwaandikisha watu wa Israeli.+