-
2 Samweli 24:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Basi Gadi akaenda kwa Daudi na kumwambia: “Je, unataka njaa kali ije katika nchi yako kwa miaka saba?+ Au unataka kuwakimbia maadui wako kwa miezi mitatu huku wakikufuatia? + Au unataka nchi yako ikumbwe na ugonjwa hatari kwa siku tatu?+ Sasa fikiria kwa makini jibu ninalopaswa kumpa Yule aliyenituma.”
-