-
2 Samweli 24:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Arauna alipotazama chini na kumwona mfalme na watumishi wake wakija kumwelekea, mara moja Arauna akatoka nje na kumwinamia mfalme kifudifudi.
-