2 Samweli 24:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Lakini Arauna akamwambia Daudi: “Bwana wangu mfalme uchukue na kutoa unachoona ni chema.* Ndio hawa ng’ombe kwa ajili ya dhabihu ya kuteketezwa na kifaa cha kupuria nafaka na nira za ng’ombe utakazotumia kama kuni.
22 Lakini Arauna akamwambia Daudi: “Bwana wangu mfalme uchukue na kutoa unachoona ni chema.* Ndio hawa ng’ombe kwa ajili ya dhabihu ya kuteketezwa na kifaa cha kupuria nafaka na nira za ng’ombe utakazotumia kama kuni.