1 Wafalme 1:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Nenda kwa Mfalme Daudi ukamuulize, ‘Je, bwana wangu mfalme, hukuniapia mimi kijakazi wako, ukisema: “Sulemani mwana wako atakuwa mfalme baada yangu, naye ndiye atakayeketi kwenye kiti changu cha ufalme”?+ Basi kwa nini Adoniya amekuwa mfalme?’
13 Nenda kwa Mfalme Daudi ukamuulize, ‘Je, bwana wangu mfalme, hukuniapia mimi kijakazi wako, ukisema: “Sulemani mwana wako atakuwa mfalme baada yangu, naye ndiye atakayeketi kwenye kiti changu cha ufalme”?+ Basi kwa nini Adoniya amekuwa mfalme?’