-
1 Wafalme 2:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Baada ya muda Adoniya mwana wa Hagithi akaja kwa Bath-sheba, mama ya Sulemani. Bath-sheba akamuuliza: “Je, umekuja kwa amani?” Akamjibu: “Ni kwa amani.”
-