-
1 Wafalme 2:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Kwa hiyo Bath-sheba akaenda kuzungumza na Mfalme Sulemani kwa niaba ya Adoniya. Mara moja mfalme akainuka ili kumpokea, akamwinamia. Kisha akaketi kwenye kiti chake cha ufalme, akaagiza pia mama yake aletewe kiti cha ufalme, ili aketi upande wake wa kulia.
-