-
1 Wafalme 3:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Mwanamke wa kwanza akasema: “Tafadhali, bwana wangu, mimi na mwanamke huyu tunaishi katika nyumba moja, nami nilizaa mtoto alipokuwa nyumbani.
-