-
1 Wafalme 3:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Mara moja mwanamke ambaye ni mama ya mtoto aliye hai akamsihi mfalme, kwa maana alishikwa na huruma kwa ajili ya mwanawe. Akasema: “Tafadhali, bwana wangu! Mpe yeye mtoto aliye hai! Usimuue kamwe.” Lakini yule mwanamke mwingine alikuwa akisema: “Hatakuwa wako wala hatakuwa wangu. Acha wamkate vipande viwili!”
-