-
1 Wafalme 6:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Bawa moja la kerubi lilikuwa na urefu wa mikono mitano, na bawa lingine lilikuwa na urefu wa mikono mitano. Urefu kutoka ncha ya bawa moja mpaka ncha ya bawa lingine ulikuwa mikono kumi.
-