-
1 Wafalme 6:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Alitengeneza milango hiyo miwili kwa mbao za msonobari, na kwenye milango hiyo alichonga makerubi, mitende, na maua yaliyochanua, kisha akaifunika kwa dhahabu; akawafunika makerubi hao na mitende hiyo kwa dhahabu akitumia nyundo.
-