-
1 Wafalme 7:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Naye alijenga Ukumbi wa Nguzo wenye urefu wa mikono 50 na upana wa mikono 30, na mbele yake kulikuwa na ukumbi mwingine wenye nguzo na paa dogo lililochomoza mbele.
-