1 Wafalme 7:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Majengo hayo yote yalijengwa kwa mawe ghali+ yaliyochongwa kwa vipimo, yaliyokatwa ndani na nje kwa misumeno ya mawe, kuanzia kwenye msingi mpaka juu ya ukuta, na upande wa nje mpaka kwenye ule ua mkuu.+
9 Majengo hayo yote yalijengwa kwa mawe ghali+ yaliyochongwa kwa vipimo, yaliyokatwa ndani na nje kwa misumeno ya mawe, kuanzia kwenye msingi mpaka juu ya ukuta, na upande wa nje mpaka kwenye ule ua mkuu.+