1 Wafalme 7:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Ilikuwa juu ya ng’ombe dume 12,+ watatu wakitazama kaskazini, watatu wakitazama magharibi, watatu wakitazama kusini, na watatu wakitazama mashariki; na Bahari hiyo ilikuwa juu yao, na sehemu zao zote za nyuma zilielekea katikati.
25 Ilikuwa juu ya ng’ombe dume 12,+ watatu wakitazama kaskazini, watatu wakitazama magharibi, watatu wakitazama kusini, na watatu wakitazama mashariki; na Bahari hiyo ilikuwa juu yao, na sehemu zao zote za nyuma zilielekea katikati.