-
1 Wafalme 7:45Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
45 na ndoo za kuondolea majivu, sepetu, mabakuli, na vyombo vyote ambavyo Hiramu alimtengenezea Mfalme Sulemani kwa shaba iliyong’arishwa kwa ajili ya nyumba ya Yehova.
-