-
1 Wafalme 8:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Lakini Yehova akamwambia Daudi baba yangu, ‘Moyo wako ulitamani kujenga nyumba kwa ajili ya jina langu, na ulifanya vizuri kutamani jambo hilo moyoni mwako.
-