-
1 Wafalme 10:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Lakini sikuamini habari hizo mpaka nilipokuja na kujionea kwa macho yangu mwenyewe. Na kwa kweli sikuwa nimeambiwa hata nusu yake. Hekima yako na ufanisi wako umezidi kwa mbali habari nilizosikia.
-